ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 4, 2013

WEMA SEPETU AMFANYIA MTOTO WA DADA YAKE BIRTHDAY NDANI YA FUNKYZ (MASAKI)

Wema akipiga story na Dada yake Kipenzi Nuru (Ma Riffat)
Huyu ni mmoja ya rafiki wa Birthday Boyaliyewashangaza wengi kwa style yake ya kujichora
Spider Man usoni mwake
Wema alionesha kuvutiwa na mtoto huyu nakuomba ampige picha kwenye sim yake...
Kabla yakukata Cake mpango mzima ulikuwa ndani ya Maji
Baby Girl Sasha akipiga maji
Kutokana na Mapenzi makubwa ya Birthday Boy (Raffat) kwa katuni ya Ben 10 ililazimika kutengenezewa Cake zilizonakshiwa Katuni huyo
Kwa picha zaidi bofya read more
Mtu na Aunt yake wakifanya yao
Birthday Boy akimlisha Cake Baba yake Kipenzi
Mama yake Kipenzi
Aunt Wema
Rafiki wa karibu wa Birthday Boy akitoa Speech kwa rafiki yake
Hawa ni wazazi wa Birthday Boy wakiskiliza Speech kwa umakini zaidi
After Speech
Manager Martin pia alihudhuria bhana!
picha kwa hisani ya Bestizzo Blog

3 comments:

Anonymous said...

Wema you are beautiful. Lakini wacha kujipaka mkorogo. Hakuna maana yoyote. Black is natural beautiful.

gracious kim said...

may you always be blessed with a sacrificing and a lovly heart always

Anonymous said...

Much luv wema