Wednesday, March 13, 2013

WEMA SEPETU KI ORGANIC ZAIDI BAADA YA KUKATA NYWELE


Mrembo na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na kuandika, ‘me hapa nimenyoa nywele’. 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake