![]() |
| Fid Q akiwa jibika vilivyo katika viwanja vya coco beach Dar-Es-Salaama katika weekend ya pasaka. Lili kuwa tamasha la wazi kama unavyoona watu walifunga mbaya kabisa. |
Na hapa ilikuwa Morogoro siku hiliyo fuhata juma tatu ya pasaka unaweza kuona milima ya uluguru kwa mbali

No comments:
Post a Comment