ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 27, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA TZ METHODIST MSASANI NA KUZINDUA CD YA KWAYA YA WATOTO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kanisa la Tanzania Methodist la Msasani, Joseph Mayala, leo Aprili 27, 2013 wakati wa hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa 
kuingia Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo. Kulia ni 
Askofu wa Kanisa hilo, Dkt. Mathew Byamungu.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia waumini wa dini ya Kikristo wa Kituo cha Kanisa la Tanzania Methodist la Msasani, wakati alipowasili katika kituo hicho leo Aprili 27, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa kuingia Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya maua kutoka kwa watoto wa Kituo cha Kanisa la Tanzania Methodist la Msasani, wakati alipowasili katika kituo hicho leo Aprili 27, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa kuingia Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na watoto wanaounda kundi la Kwaya ya watoto, inayofadhiliwa na Shirika hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Watoto
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili katika Kituo cha Kanisa la Tanzania Methodist la Msasani, leo Aprili 27, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Kanisa hilo iliyofanyika sambamba na Ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Shirika la Compassion International Tanzania kwa kuingia Ushirika wenza na Makanisa ya Mkoa 
wa Dar es Salaam na kuzindua Cd ya Kwaya ya Watoto wanaofadhiliwa na Shirika hilo.
 Baadhi ya waumini waliohudhuria harambee hiyo.
 Juu na chini ni Watoto wa Kwaya inayofadhiliwa na Shirika la Compassion International Tanzania, wakitoa burudani ya kuimba moja ya wimbo wao ulio 
katika Albam yao iliyozinduliwa katika hafla hiyo.
 Askofu wa Kanisa la Tanzania Methodist la Msasani, Dkt. Mathew Byamungu, akitoa neno la shukrani baada ya hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wachungaji na watumishi wa Kanisa hilo. Picha na OMR

No comments: