ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 3, 2013

Mgogoro wa kuchinja ng'ombe wasababisha vurugu-Mbeya.


Shughuli za kiuchumi katika mji wa Tunduma uliopo mpakani mwa Tanzania na Zambia wilayani Momba mkoani Mbeya zimesimama kwa zaidi ya saa saba kufuatia vurugu kubwa zilizoibuka ambazo chanzo chake kinadaiwa kuwa ni mgogoro wa kuchinja ng'ombe baina ya Wakristo na Waislamu.

No comments: