Thursday, May 23, 2013

DIAMOND: ATIRIRIKA NA KUTAJA HIZI SABABU KWA NINI NAFANYA VIZURI KIMUZIKI

Mengi yamekuwa yakisemwa juu ya msanii ambae inaaminika ndiye mfalme wa muziki wa bongo fleva Wapo wanaosema anatumia nguvu za giza ikiwemo ushirikina na wapo wanaosema yuko powered na Imani ya Free mason ingawaTEENTZ tunaamini juhudi na kujituma ndiyo njia pekee ya mafanikio kwa chochote TEENTZ ilipiga story na Diamond na kueleza moja ya sababu kubwa why yuko juu na na kila siku ananendelea kuwa juu tofauti na baadhi ya wanamzki wengine
1-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho".
2-"Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya mhimu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu kitakachoendelea kumantain muziki wangu"
3"-Sibani pesa kwenye swala la kujijenga kimziki,niko tayali nitumie milioni kadhaa kufanya kitu kitakachojenga status yangu vizuri,mfano kugharamikia mavazi ya shows n.k"
4-"Nampenda sana mama angu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"
Hizo ndizo reason chache alizotoa Diamond kuhusu yeye kuendelea kuwa on the pick na ni wazi kabisa ndani ya reason kama hizo ni binadamu wachache sana watakaoshindwa kufanay vizuri ama kupata maendeleo.

2 comments:

Anonymous said...

baba eeh kwama muislamu dini yako usivae gold, mtoto wa kiumwe wa kiislamu haruhusiwi kuvaa gold kama kweli wewe muislamu ushauri wa bure kwa diamond

Anonymous said...

Mhhh na wewe tuondolee ushamba wako huko, eti muisilamu havai gold, hao waarabu matajiri wa saudia wanaovaa mpaka chupi za gold kwani wao sio waislamu???kunywa maji ukate kiu naona koo limekukauka, do your thing brother diamond