Thursday, May 9, 2013

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYODADISHA SHOW YA MWISHO READING, UK

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' juzi Jumapili aliwapagawisha warembo wa jijini Reading UK wakati wa shoo yake. Pichani juu ni taswira mbalimbali za msanii huyo akiwadatisha warembo wa UK.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

1 comment:

  1. vichogo chogo na mapasu pasu ndo waliokwenda huko watoto walio tulia na kujua thamani ya ujanajike na kumsaport mwanamke mwenzao aliyedhalilishwa wema sepetu wametulia majumbani au kama wako job wametua huko

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake