Saturday, May 18, 2013

DR. FERDINAND MASAU WA TANZANIA HEART INSTITUE HATUNAE TENA

Taarifa zilizotufikia zinasema muasisi wa hospitali ya moyo ya Tanzania Heart Institue Dr. Ferdinand Masau amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tutazidi kuwajuza tutakapo pata habari zaidi.
Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu Dr. Ferdinand Masau, Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe, AMIN-

7 comments:

Anonymous said...

Wewe kaka Unakaa USA Huyu baba kafanya wapi kazi ? Na kasoma wapi .Huyu baba alifanya kazi za assembly 1999 compaq .Hana ubingwa wala nini weka work experience yake Basi

Anonymous said...

Jamani jamaa fake hayupo Kwenye system yoyote hapa USA.Piga simu hiyo 832 355 4932.Dr A Cooley amesikitishwa sana na Masau kumtumia eti alikuwa mwanafunzi wake .kama mnaswali ask. Denton A Cooley ,MD,FACS,FACC.dccooley@texasheart.org .www.texasheartinstitute.com

Anonymous said...

Mimi nitakusaidia ndugu yangu, Mimi naishi hapa Houston Texas. Dr. Masau amefanya kazi Texas Heart Institute na ameshiriki katika upasuaji wa moyo na ma-doctor wengine mara kadhaa. Ma-doctor bingwa kutoka Marekani wasingekuja kufanikisha surgery za kwanza kama huyu mtu alikuwa computer assembly worker. Texas Heart Institute ipo Texas Medical Center. Kama alifanya kazi Compaq ni kutaka kutumia muda wake wa ziada kwa sababu zake tu. Lakini mimi binafsi namfahamu vizuri sana. Vijimambo iko Maryland inaweza isijue sana historia yake lakini sisi wa Houston ndiyo tunamfahamu sana. Kwa hivyo usipotoshe na watu, wengine wanaweza kuwa na chuki binafsi. Ningependa hata kukutumia picha zinazoonesha akiwa na timu ya upasuaji, isipokuwa siwezi kufanya hivyo bila idhini ya familia yake.

Anonymous said...

DR MASAU ni ndugu yangu wa karibu na naona uchungu watu wanavyomsema vibaya wakati huu wa huzuni.

stevie-H-Town said...

Wangapi wakati wanaenda shule ama tu kutafuta kipato cha ziada hufanya kazi za ziada za aina hiyo.Marehemu alikua mmiliki wa Tanzania Heart institute ,kitengo binafsi cha kwanza nchini kwa upasuaji wa moyo, watu waliokua wanafaidika na deal za safari za india wakaanza fitina alipigiwa mnada kila kitu chake Texas children Hospital hapa Houston walijitolea kumfadhili upya vifaa kwa kutambua utaalamu wake na jengo lake binafsi lilikua kwenye hatua za mwisho.mungu amlaze pema peponi.Amin

Anonymous said...

Hata kama alikuwa Compaq so what? huyo anoy 9:28am ni Bogus sana ukifuatilia ni mtu aliyotoka bongo kapata visitor visa kaja kutembea na kuzamia hapa USA ndiyo maana ana uttitude za kishamba sana(education is the key to life)this person is no long in this world bado mtu can think about Compaq. Shame on you, RIP Dr.Masau.

Anonymous said...

Watanzania wachache hapa Marekani tulitimiza wajibu wetu kuhakikisha Dr. Anafanikiwa kufikia ndoto yake ya kuwasaidia watanzania ambao 99.99% ni masikini, likini wenzetu waliowengi nyumbani wameshindwa kufanya sisi wachache tulichofanya hapa.

Soma kipingamizi hiki kinachosema;


Re: Bodi, shule ya Dr. Masau: Cheti chake hakimruhusu kupasua watu

Hapa chini ni kwa ufupi jibu la swali lako (comment No 1, time 9.28am)

Tanzania Heart Institute
Specialty:

Adult Cardiac Surgery
Pediatric Cardiac Surgery
General Thoracic Surgery
Peripheral Vascular Surgery
Background
Texas Heart Institute
Hubei Medical University
University of Dar-Es-Salam
Interests
Cardiovascular Surgery
Last Modified: 29-Jan-2008
na link yenyewe ni hii http://www.world-heart.org/home/fmasau na inatambulika kimataifa, labda uniambie jamaa ni tapeli tuu kasomea kitu kingine na sio udaktari wa moyo. Kabla ya Marekani alisomea China. Tuombe Mungu kwa bidii zetu zote vizazi vijavyo vya Tanzania wabadilike lakini kwa mtaji huu haina maana kuringia utaifa wetu. RIP Dr. Masau I'll cherish the memories in those days when I was driving you around in the city of Houston to achieve the top goal to serve lives of Tanzanian people, but your life is cut too short.