ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 29, 2013

INASEMEKANA KUWA DAWA YA MOTO NI MOTO AU UKIJUA KUTOA JUA NA KUPOKEA

Mtu mzima anapewa fimbo mbele ya kadamnasi hili kutoa fundisho kwa wengine wenye tabia kama yake

2 comments:

Anonymous said...

Inasikitisha kweli tulivyokuwa nyuma, mambo ya bakora 2013

Anonymous said...

inasikitisha wapi wewe mdau wa mwanzo hii ndo fresh ndo yenyewe naona uko majuu wewe mchizi hii ndo za kwetu bongo vijijini hatutumi ma gun kuwauwa watu au kuwalipuwa watu na misumu kuwatilia kwenye vyakula hii ndo asili ya kiiafrica safi sana 2013