Jambazi ameuawa na wananchi wenye hasira wilayani Morogoro...
Jambazi mmoja ameuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya majambazi watano kuvamia soko la ndizi la mwanzo mgumu la wilayani morogoro wakiwa na silaha aina ya smg kujeruhi watu wawili na kupora fedha.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake