
Jennifer Lopez

Mafanikio ya wanamuziki wa majuu yanajieleza yenyewe.
Kumekuwa na tabia ya wasanii wa majuu kushindana kwa mambo ya maana, ukiianzia kwenye kununua majumba makubwa magari ya kifahari, kufungua biashara kubwa kubwa, ndio maana baadhi yao huweza kuendelea kula kuku kwa kujinafasi wakati wa uzeeni.


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake