Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akionyesha waandishi wa habari wanyama aina ya kobe zaidi ya 70 waliofungwa kwenye mifuko ya Salfet waliokuwa wamekutwa kwa Moses Nyawaje 42 akiwa anataka kuwasafirisha kinyume cha sheria.Picha na John Banda, Dodoma
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake