Advertisements

Wednesday, May 1, 2013

JK AWASILI JIJINI MBEYA KWA SHEREHE ZA MEI MOSI


Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Mbeya wakisalimiana kwa shauku na Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mjini Mbeya tayari kuongoza sherehe za Mei mosi zinazofanyika mkoani humo leo. Picha na Freddy Maro

No comments: