Sunday, May 5, 2013

KIKITIMKA KIVUMBI MIMI SIPO, NI TANZANIA DMV NA UFARANSA LEO JUMAPILI

Leo Jumapili May 5, 2013 

Timu ya waTanzania itajitupa Uwanjani katika mchezo wake wa kwanza fungua dimba na Timu ya Ufaransa Mida ya Saa 9:00 mchana (3:PM)  katika kiwanja cha Roy Lester Stadium.

Anuani: Montgomery High School 
250 Richard Montgomery Dr Rockville, MD 20852 

Wachezaji wote wanaombwa kufika MAPEMA saa 8:30 mchana (2: 30 PM) Juu ya alama mpambano utaanza Saa 9:00 kamili (3:PM sharp)

Watanzania wote DMV tunaomba tufike kwa wingi

2 comments:

  1. kila la heri timu ya Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Matokeo ya mechi tafadhali... Tufahamishe

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake