Saturday, May 18, 2013

KOCHA JUMA MASWANYA NA YOUTH SOCCER DEVELOPMENT PROGRAM, HOUSTON, TEXAS

Kocha Juma Maswanya akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji anaowafundisha kwenye Youth Soccer Development Program kwa vijana iliyopo Houston, Texas nchini Marekani.

1 comment:

  1. wewe una patikana wapi. hapa bongo' kwani nina kijana wangu anapenda sana mchezo huu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake