Saturday, May 11, 2013

KONTENA LILITUMWA NA RODGERS EXPORTS FEBRUARY LIMEFIKA


 

 
Mizigo iliyotumwa na wateja mbali mbali kutoka hapa USA kupitia kampuni ya Rodgers Exports ikipakiwa kwenye gari la mizigo Zanzibar ikiwa safarini kupelekwa Dar-es-salaam leo jioni. Ugawaji wa mizigo hiyo utafanyika Jumatatu katika la Dar.
 
 



No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake