ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 6, 2013

Mahakama ya rufaa imemrejesha ushindi Mbunge wa Sumbawanga mjini Mhe. Aeshi Hilaly

Mahakama ya rufaa imetengua maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu kanda ya Sumbawanga na kumrejeshea ushindi mbunge wa Sumbawanga mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Mhe. Aeshi Hilaly ambae alikata rufaa baada ya mahakama kuu ya Sumbawana Kutengeua ushindi wake kutokana na kesi iliyofunguliwa mgombea wa chadema bwana Norbet Namsebo ambae alidai uchaguzi katika Jimbo hilo uligubikwa na rushwa.

No comments: