Thursday, May 9, 2013

MAHOJIANO-EBOU SHATRY SEHEMU YA PILI


Ebou Shatry Chief wa Swahilivilla blog, anawaasa watanzania wakubaliane na changamoto, waache kulalamika "watu wananizibia riziki". Zaidi anawaomba watanzania wapendane na kushirikiana kama zilivyo jamii za mataifa mengine ughaibuni.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake