Monday, May 6, 2013

MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA JIJINI DAR


Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache uliopita na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 11 jioni inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawila
Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo
aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa.

8 comments:

  1. Haaa!!! Bongo! Jamani naombeni tujifunze kutobeba cash!!! ni hatari sana. Asietaka personal checki achukue cashiers check au tumia mtindo tofauti si cash wajameeni hii ni nomaa sana ndugu zangu!!!!

    ReplyDelete
  2. Tanzania Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote
    Nchi yangu Tanzania
    Jina lako ni tamu sana
    Nilalapo nakuota wewe
    Niamkapo ni heri mama wee
    Tanzania Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote!!!

    Mungu ibariki Afrika
    Wabariki Viongozi wake
    Hekima Umoja na Amani
    Hizi ni ngao zetu
    Afrika na watu wake.
    Chorus:
    Ibariki Afrika, Ibariki Afrika
    Tubariki watoto wa Afrika.
    Mungu ibariki Tanzania
    Dumisha uhuru na Umoja
    Wake kwa Waume na Watoto
    Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
    Chorus:
    Ibariki Tanzania, Ibariki Tanzania
    Tubariki watoto wa Tanzania.

    Mdau Columbus Ohio

    ReplyDelete
  3. Tanzania Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote
    Nchi yangu Tanzania
    Jina lako ni tamu sana
    Nilalapo nakuota wewe
    Niamkapo ni heri mama wee
    Tanzania Tanzania
    Nakupenda kwa moyo wote!!!

    Mungu ibariki Afrika
    Wabariki Viongozi wake
    Hekima Umoja na Amani
    Hizi ni ngao zetu
    Afrika na watu wake.
    Chorus:
    Ibariki Afrika, Ibariki Afrika
    Tubariki watoto wa Afrika.
    Mungu ibariki Tanzania
    Dumisha uhuru na Umoja
    Wake kwa Waume na Watoto
    Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
    Chorus:
    Ibariki Tanzania, Ibariki Tanzania
    Tubariki watoto wa Tanzania.

    Mdau Columbus Ohio

    ReplyDelete
  4. This is very very sad, huu mtindo wa kuleta picha za maiti siyo haki kwa aliyekufa, ndugu na hata marafiki. Jamani hivi hawewezi hata kumfunika. I think in other countries media hawawezi kuonyesha picha kama hiyo. Jamani tuwe na utu!!

    ReplyDelete
  5. How do we even begin to post such pictures online kweli jamani? Is this insensitivity or we have just lost all sense of humanity? Has anyone thought of this woman's family or we think that this only happens to other people and not us?

    God Bless her Soul.

    ReplyDelete
  6. mjione wenyewe kwanini wasituonyeshe picha tujuwe wa dini gani na dini gani wanatoa michango yao mikubwa hapa nchini na wengine wakipebwa kama viwete toka uhuru wa nchi hii na hii issue ilikuwa imesukwa kinona noma hawawezi kuja majambazi kufanya haya bila kupata blue print master plan

    inna lillahi waina illahim rajiun hata jina lake maskini halikutajwaa

    ReplyDelete
  7. aliyeweka shairi hili ndo nani kanikera kweli kweli wacha uppuzi wako bwana mtu amekuwa eti leo tanzania tanzania,imba tanganyika nitakuona wa maana.

    sasa fbi wataletwa kuchunguwa hili au kwa vile mtu mmoja au kwa vile muislamu

    halafu tanzania tanzania na mashairi ya kibwege bwege hapa

    ReplyDelete
  8. ina lillahi waina illahim rajiun mungu kamuweka peponi kazi kwenu mlio muuwa na kumpora mtaishi mpaka lini na pesa hizo mtatumia mpaka lini na mwisho wa siku kuna siku mtafika kwa mungu wenu and you will be answerable unadhani kwamba hamtoulizo basi mmekosea kila ukitendacho hapa duniani kibaya utauliza kizuri kitakufaya mbele ya ufalme wa mungu

    so msione mmeshinda kwa kumuuwa kumbe hasara yenu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake