Saturday, May 25, 2013
MWAKILISHI WA TANZANIA BIG BROTHER AFRIKA 2013
Msimu mpya wa Big Brother barani Afrika umewadia na mara hii Tanzania itawakilishwa na mwanadada Fedha Kessy. Mchuano huo u
taanza kesho Jumapili, Mei 26, 2013. Mwaka huu Big Brother ina washiriki 28 kutoka nchi 14 za Afrika.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake