Monday, May 6, 2013

NI ORGANIC MAZOEZI HAYO KWA MTAJII HUU BIBI MWACHE AWE NA AFYA NJEMA

Bibi anaendesha baiskeli bila wasi wasi maisha yanasonga hapa akielekea sokoni kujipatia mahitaji ya siku akitumia usafiri wa baiskeli. Hii ilikuwa mitaa ya Kyela Mbeya ukodak wa vijimambo ulipiga hodi pande hizo.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake