
Mwanamuziki mwenye vituko vingi sana Nicki Minaj, "30-year-old rapper" akiwa ndani ya baadhi ya vivazi vyake matata. Ameamua kuachingia ngazi kwenye msimu ujao ili kujikita zaidi katika kazi zake za muziki.
Ni kuwa hatutamuona tena katika Ameirican Idol, baada ya hii inayoendelea sasa kumalizika


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake