Polisi Morogoro linawashikilia askari 3 na raia 1 kwa kupatikana na fuvu la kichwa cha binadamu.
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikia askari polisi watatu wa wilayani Kilosa na raia mmoja kwa kupatikana na fuvu La kichwa cha binadamu anaedaiwa kuuwawa hivi karibuni
Aibu.Njaa itatuua
ReplyDelete