Wednesday, May 8, 2013

SHEREHE YA MUUNGANO, WASHINGTON STATE.

Watanzania wa Washingon State wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya muungano zilizofanyinyikia Seattle Jumamosi April 27, 2013
Marafiki wa Watanzania walioalikwa kwenye shrehe ya muungano iliyofanyikia Seattle.
Ukodak moment
Watanzania wa Seattle, Washington State katika picha ya pamoja

kwa picha zaidi bofya read more


3 comments:

  1. sijajua kwamba mheshimiwa meya wa seattle anapiga vichupaz siku hizi halafu kanenepa na kungara kweli majuu raha tupu au vipi mheshimiwa.

    lakin nimepata bumbuwazi za kupiga vichupa yote kheri

    ReplyDelete
  2. NAULIZA HUU MUUNGANO MMEUNGANA NA NCHI GANI? NIJIBUNI WAHESHIMIWA WA SEATTLE

    ReplyDelete
  3. kujirusha kwa sana majuu jamani huku hata hatusherehekei hivyo isipokuwa kuonaga serikali maandamano yao kwenye uwanja

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake