Saturday, May 4, 2013

SOKETI YA UMEME INAYOTUMIA SOLAR

Unachotakiwa kufanya ni kubandika soketi hiyo kwenye dirisha la kioo nyumbani au kwenye gari na soketi hiyo itakupatia umeme kama unavyoona kwenye picha.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake