Wednesday, May 1, 2013

Timu Mzima ya Kampuni Ya Wema Sepetu hii hapa

Kwa kawaida huwaonyesha upendo wa hali ya juu wafanyakazi wake na mara nyingi hupenda kuitwa mama, kutokana na anavyowatrity wafanyakazi wake kama watoto wake wa kuwazaa. Hii ndio sababu ya wafanyakazi wake hupenda kumwita Wema mama na si sababu ingine.
Pichani Wema akimbusu tiny daddy mzazi.
Wakati wote ni wakati wa furaha japokuwa kuna muda mwingine mama huamka amekasirika kidogo labda shemeji nyumbani amemstress kidogo na vitu kama hivyo kwahiyo ni mambo ya kawaida kibinadamu kwenye picha hajacheka sana inaonekana itakuwa amelazimishwa!
Hii hapa TEAM ENDLESS FAME kiukweli NAWAFAGILIA SANA na NAWAKUBALI MKO JUU na ni mfano wakuigwagwa.
Hiki ndio kikosi ambacho wema anakiamini sana kwa sasa, katika kila kitu katika maisha yake hawa ndugu rafiki na hata wafanyakazi wake anaamini ipo siku maisha yake na yawafanyakazi wake yatakuwa sawa kimaendeleo. Alilisema hilo kutokana na mshahara mzuri na mikataba mizuri aliyowapa wafanyakazi wake ambayo haiwabani hata kidogo.
Wakati mwingine ucheza na khufurahi na timu hasa anapoalikwa kwenye shghuli mbalimbali bila yakuweka mapozi wala kuleta ustar huyu ndio Wema hapo akiwa na Manager wake MARTIN KANDINDA.
Na huu ndio mkoko wake mie napokutana nao njiani nikiwa na ki OPER changu au nikiukuta umepaki pale ofice kwake nje napenda kuuita HESHIMA KWA WANAWAKE.Q7
Na mwisho kabisa namleta kwenu kijana mtanashart anayesimamia kazi zote za WEMA SEPETU the super duper DESIGNER MR SINGLE BUTON Ladies and gentleman put ur hand up kwa MARTIN KADINDA
bongoclantz.

No comments: