Tuesday, May 28, 2013

TRA imeteketeza shehena kubwa ya vipodozi vyenye viambata vya sumu.


Mamlaka ya mapato -TRA mkoani Mbeya imeteketeza shehena kubwa ya vipodozi vyenye viambata vya sumu pamoja na pombe inayoingizwa nchini kinyume cha sheria ikiwa imefungwa kwenye pakti za nailoni, zinazojulikana kwa jina maarufu la viroba.

1 comment:

  1. Good JOB! Well done! Kila mpaka nchini udhibiti kabisa hizo pombe ni sumu kwa afya ya binadamu ndo maana Taifa letu limejeuka kuwa la waleviiii. Hapo rushwa imegonga ukuta. mambo mazuri sana. MIKOA MINGINE WAIGE MBEYA NI MFANO MZURI SANA.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake