Balozi Mwanaidi Maajar akikagua Meza ya Metro Tires siku ya uzinduzi October 23, 2010 kwenye ukumbi wa Mirage uliopo Langley Park Maryland, nchini Marekani. Siku hii Vijimambo Blog ilikua na miezi tisa tangia kuanzishwa kwake.
Missy Temeke akimkabidhi Balozi Maajar zawadi ya maua
Loveness Mamuya akimkabidhi Balozi Maajar kadi ya mawasiliano huku akiwa amevaa T-shirt ya Vijimambo.
Kalokola akiwakilisha WAMATA akimuonyesha Balozi Maajar kazi zao siku ya uzinduzi October 23, 2010
Aunty Umi Mwamoyo akimuelezea Balozi Maajar kuhusu bidhaa zake.
Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin akisalimiana na Balozi Maajar.
kwa picha zaidi bofya read more
Balozi akisalimiana na Rose kachuchuru wakiwemo watoto wake.
Balozi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Peter Walden ambaye ni Mbunifu wa kivazi cha suti na nguo za manesi
Balozi Maajar akiwa kwenye meza ya VOA, hapa akisalimiana na Mkamiti akiwemo Mr. TZ
Balozi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Dr. Hamza Mwamoyo
Balozi Mwanaidi Maajar akipata kadi ya mawasiliano kutoka kwa Susan Malima.
Balozi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Mbunifu Nick siku ya uzinduzi wa Vijimambo October 23, 2010.
Balozi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Stephano Mhina (kushoto) huku Aman Moshi (kulia koti la suti jeusi)) na mwenzake (tai ya njano) wakimsikiliza.
Balozi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Dickson Mkama wa DMK Global (suti ya kijivu)
Balozi Mwanaidi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Phanuel Ligate wa J&P Entertainment.
Balozi Maajar akipata maelezo kutoka kwa Mama Kimolo
Carol akimsalimia Balozi Maajar na kumkaribisha kwenye meza yake.
No comments:
Post a Comment