Bwana Harusi Abdull Jefferies na kipenzi mke wake Asha Akida katika picha ya pamoja baada ya kufunga pingu za maisha Ijumaa June 7, 2013 katika Msikiti wa Washington Islamic Center uliopo Briggs Cheney, Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Bibi harusi Asha Akida akiwa kwenye ndoa yake na mumewe Abdull Jefferies katika muskiti wa Washington Islamic Center uliopo Briggs Cheney, Silver Spring, Maryland.
Bwana harusi Abdull Jefferies akiwa kwenye ndoa yake na mkewe Asha akida.
Imam wa msikiti wa Washington Islamic Center, Faizul R. Khan akifungisha ndoa ya Asha Akida na mumewe Abdull Jefferies.
Juu na chini ni Bwn. na Bi harusi wakivishana pete.
Bi. harusi akitia saini cheti cha ndoa.
Bwn. na Bi. harusi wakionyesha cheti cha ndoa.
Juu na chini ndugu, jamaa na marafiki wakishuhudia ndoa.
kwa picha zaidi bofya read more.
Juu na chini ni Bwn. harusi na Bi. harusi wakiwa kwenye ndoa yao iliyofanyika Ijumaa June 7, 2013.
Picha za sherehe baadae.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake