ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 5, 2013

Vivazi na wageni siku ya Tanzanian ladies Night

Baadhi ya wabunifu wa mavazi na wageni kwenye shughuli ya Tanzanian ladies Night iliyofanyika Juni 1, 2013 kwa kuandaliwa na TANO Ladies


Kivazi kwa niaba ya Sika Designs (Hiki ndicho kilichoshinda)

  Kivazi kwa niaba ya Kwetu Fashions
 Kivazi kwa niaba ya Linda Bezuidenhout Apparel

Kivazi kwa niaba ya Shalwa Design
 Kivazi kwa niaba ya Susan Malima

Kivazi kwa niaba ya Vivvyd Designs
Kivazi kwa niaba ya Kwetu Fashions



Kivazi kwa niaba ya Susan Malima
 
Kikundi cha Taratibu Youth 


 Wageni wakiserebuka


Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Baadhi ya picha za Red Carpet
 Wageni wakila raha
  Wageni wakila raha
  Wageni wakila raha
  Wageni wakila raha
 Wageni wakila raha
  Wageni wakila raha

Kwa picha zaidi bofya hapa


15 comments:

Anonymous said...

Heeee mbona vitenge vizuri vya kuhesabu? naona magunia tu mweeeee. kutaka kuiga mambo musoyaweza?

Anonymous said...

kimependa hiyo Sika Designs bomba saba

Anonymous said...

Jamani Dj Luke!!1 Kwende mbele na kurudi nyuma picha za Queen[Nyasso] zimependeza mnooo lakini mbona umezificha mbali? Amependeza mnoo na nguo yake ,nywele pamoja na makeup!!Yaani huwa napenda kweli makeup za Nyasso.

Anonymous said...

Wakinadada mmependeza woooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeee hongereni sana jamani no magunia hapo they all look beautiful. Big up women!!!!!!!!! WORD.

Anonymous said...

Wewe mdau hapo juu umenena ni kweli Nyasso kapendezaaa maskini yupo kama Beyonce hapo juu aliposimama. Angalia Makeup zake very Flawless. Katundu ila Kazuri kweli .Lol.

Anonymous said...

Weee anonymous wa kwanza naomba nikujibu: Wanawake wooooote 100% walipendeza. FIRST OF ALL HAIKUWA SHOW YA MAVAZI WALA USHINDANI NA MTU YEYOTE, WE ARE DONE WITH NEGATIVE AND DRAMMA SOULS. OUR MOTTO IS TO MAKE A DIFFERENCE AMONG OURSELVES AND ANOTHER WOMEN AND CHILDREN BACK HOME, WE MOVE FORWARD WITH THOSE WHO ARE READY TO USE THE FRIENDSHIP, EXPOSURE AND EDUCATION WE GOT HERE IN USA! THAT IS IT.

MWANAMKE UPO WAPI????? TUSONGE MBELE YOU ALL LOOK FABULOUS!

TANO LADIES

Anonymous said...

Acheni majungu jamani, yaani mswahili mswahili tu piga hua hatakaa habadilike, we need to support each other, kwakweli shughuli ilikuwa nzuri sana na wakinadada wa kitanzania mlipendeza sana , thumbs up for tano ladies mmejitahidi sana,

Anonymous said...

Woow My girl Kwizera looking great Darling,I love the dress congrats to Linda(LB) designer she did a great job,I love the make up na Hiyo ya shingoni u look like a Diva sweet,your so beautiful too.I love the smile.Yaani utazania hujazaa mtoto wa pili.Kiss the baby girl for me.I love u so much.

Anonymous said...

Yaani Baada ya kusoma hizo Comment imebidi nianze kuangalia picha zoote moja baada ya moja. Kweli Queen kapendeza halafu Dj luke huyo mtoto ni maarufu saaaana anastahili kuwekwa mbelembele maana ni mmoja wa wasichana wanaopendezesha DMV kuwa na mvuto wa sisi wa states Zingine kuvutiwa na DMV. Namjua Nyasso tokea Moro anazidi kuwa mzuriiii woooow yaani sintakosa soma Vijimambo kambwee hiki kitoto huwakinanivutia mnoooo sijui nianzeje.

Anonymous said...

luke acha kubania comment..too cheap for $65 na kama ni kweli mnataka kuunite wanawake msingejiita tano ladies inaonyesha kwamba tulikuja kusherekea friendship yenu. it was not worth it kwa kweli.

Anonymous said...

Wanawake wa nyumbani ni wazuri sana sikujua kama ningeweza kuona wanawake wazuri namna hii,mimi ninaitwa Frank Mollel naishi Dernmark,nimempenda sana huyo binti mwenye Tatoo on her arm amevaa nguo ya LB design please call me this is my cell # 457 179 2990,you look verry beautiful and your super cute.I have a business in America so Nakuja sana huko nitakuwepo in Washington DC on june 20 th till the end of june can I please see u and take u out for dinner.This is My washington # 202 277 3000 suite # 307.I will be waitting to Hear from you and see your smile and your beautiful face.Thank you.

Anonymous said...

Hakuna aliyelazimiswa na inaonekana wewe uliyeandika hapo kwamba $65 ilikuwa worth hatakuja kuja kwenye haujaja hata Kama ni kufurahia friendship Yao ni poa tu tuliokwenda tume enjoy wamefunga mtaa asiyejua maana .........wivu tu DC hongereni sana Tano Ladies wacheni hii kwa mala nyingine.Kama wewe ni mtambuzi wa mambo hapo DMV hawa wakali bwana mtabaki kuwasema watoto wa we zenu jamani wapongezeni chuki nywele kando Kila siku mwataka nyie tu

Anonymous said...

Watoto wazuri wastaarabu DMV mmetisha na tano ladies Mfano wa kuigwa...mnaosema $65wasnt worth...ndo wale mlioshindwa kuona na mshazoea cheap things (......)zenu. Watu walidance walipendeza...walibadilisha ma wazo na ilikua...classic....mshazoea drama parties zenu za kusemana na kujambiana na kutoleana majasho! tano ladies isingewafaa.

Anonymous said...

Wewe uliyeona vitenge vizuri vya kuhesabu chakwako kipo wapi?unafikiri ni nguo unazochukua dukani na kurudisha?unayoyaweza wewe mbona hatu yaoni akiona tupu acha wivu hiyo tano ladies ndiyo imepita tena wewe angalia utatoka vipi kwa ushauri tu kwa majungu ufiki mbali

Anonymous said...

BIG UP FIVE mamas'. Wanawake woooooote walipendeza kila mtu ki aina yake honestly...sio fulani na fulaanii.....Jamani BINADAMU Acheni basi MAJUNGU NA FITINA ZENU, WIVU wa nini....GOOD JOB, GOOD JOB, GOOD JOB...TANO LADIES. i LOVE IT. Naona mabingwa wa KULIA walikuwepo na wakucheka pia...GOOD GOOD GOOD, Five Women...Five wanawake juuuuuuuuuuuuuuuu zaidi.....NICE, NICE. KEEP IT UP...