Tuesday, June 11, 2013

COMING SOON: FLAVIANA MATATA FOUNDATION STATIONERIES

FMF ya mwanamitindo FLAVIANA MATATA inakuletea Flaviana Matata Foundation Stationeries … Ni maduka ambayo utakuwa ukijipatia vifaa vya shuleni, vyuoni n.k. kama kalamu, penzeli, madaftari, vifutio na vinginevyo … Its Tanzania’s own FLAVIANA MATATA 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake