
Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.
Picha kwa hisani ya Bossngasa.com
inana lilahi waina illahim rajiun rahman akupe moyo wa subra bi khadija kopa na jua una uchungu mkali sana na hatopotea uchungu huu lakini kumbuka Allah kwamba hapa duniani tunapita njia kila mtu atakionja kifo kama si leo kesho siku ikipagwa yake
ReplyDeleterahman akupe moyo wa subra
mdau yule yule NY