Friday, June 7, 2013

JAFARY ALLY, MUME WA MALKIA WA MIPASHO KHDIJA KOPA AZIKWA LEO

Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi
Picha kwa hisani ya Bossngasa.com

1 comment:

  1. inana lilahi waina illahim rajiun rahman akupe moyo wa subra bi khadija kopa na jua una uchungu mkali sana na hatopotea uchungu huu lakini kumbuka Allah kwamba hapa duniani tunapita njia kila mtu atakionja kifo kama si leo kesho siku ikipagwa yake

    rahman akupe moyo wa subra

    mdau yule yule NY

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake