Friday, June 14, 2013

KALA JEREMIAH AKIMKABIDHI TUZO MAMA WA MANGWEA

Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14
Picha kwa hisani ya Mdodosaji Blog

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake