Saturday, June 22, 2013
KOFFI OLOMIDE 'MOPAO' APATA AJALI
Mopao Mokonzi alipata ajali jana (21 june) akiwa ndani ya gariyake akienda kupiga concert huko sehemu za Mbanza Ngungu @René, Congo. Ila yupo salama
Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa nguli huyo wa miondoko ya kicongo.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake