Saturday, June 15, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL APOKEA UJUMBE MAALUM WA SERIKALI YA WATU WA COMORO KWA NIABA YA RAIS KIKWETE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Waziri wa Ulinzi wa Comoro, Hamada Madi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Juni 14, 2013 kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe maalum wa Serikali ya watu wa Comoro. Makamu alipokea ujumbe huo kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Ujumbe maalum kutoka kwa Waziri Ulinzi wa Comoro, Hamada Madi, aliyefika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Juni 14, 2013 kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe maalum wa Serikali ya watu wa Comoro. Makamu alipokea ujumbe huo kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Ulinzi wa Comoro, Hamada Madi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Juni 14, 2013 kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe maalum wa Serikali ya watu wa Comoro. Makamu alipokea ujumbe huo kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake