ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 3, 2013

Meli ya mizigo Mv. Arafat imeteketea kwa moto bandarini Tanga.

Meli ya mizigo ''Mv Arafat'' inayofanya safari zake kupeleka shehena ya mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu ya umeme.

1 comment:

Anonymous said...

mnaona mambo wachunguzi wa mambo kaeni mjiulize why meli hii ilikuwa tegemezi kubwa why ghafla itoke naomba hii aiseeeeeeee kula dekii