Saturday, June 22, 2013

Mhadhara wa Prof. Shivji wabadili mtazamo wa wengi kuhusu muungano

Rasimu ya katiba mpya kutoeleza mipaka ya kiutawala kwa pande mbili za Tanzania bara na Zanzibar na kuruhusu kila pande kuwa na uwezo wa kuunda jeshi la polisi kunaweza kusababisha migogoro ya kiutawala na kuvuruga amani.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake