Monday, June 10, 2013

MKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT FORWARDER LTD AKIWA NEW YORK CITY


Picha ya Juu na chini ni Bwana Simon Louis aka Mohsin akiwa na Dulla nyumbani kwa Flaviana kulia, Bwana Mohsin yupo New York kikazi zaidi kwani anamipango ya kufungua tawi jipya la kampuni hiyo ya Serengeti Freight Forwarder Ltd. Na akiwa New York alipata fursa ya kukutana na Flaviana Matata nakuongea nae mambo ya biashara yake hiyo.





No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake