Mr II Sugu akiingia kwenye jukwaa la Machozi Band kwenye show ya miaka 1...
2 comments:
Anonymous
said...
kwi kwi kwi hao ndo wabunge mnawachagua wawakilishe bungeni. Mie sina la kusema. huyo bunge ukitembelea jimbo lake ni huzuni tupu. sasa nyie wananchi muwe makini sana mnao waweka madarakani. Kila la Kheri na Mungu ibariki Tanzania yoote.
Mdau wa kwanza, kwani wale tuliowachagua toka miaka 50 ya uhuru wako bungeni wametufanyia nini? Angalia wabunge wanaowakilisha Mtwara uangalie na hali halisi ya mtwara. Kuna mama anatoka hilo jimbo toka enzi za Nyerere yuko bungeni.

Post a Comment