Friday, June 14, 2013

OMMY DIMPOZ ADAI HII NDIO SABABU YA YEYE KUCHAFULIWA GAZETINI …

Mapema leo hii, kimeonekana kichwa cha habari katika moja ya magazeti ya udaku kikiongeleaOMMY DIMPOZ kumkashifu/kumtusi marehemu ALBERT MANGWEA [R.I.P] … Baadae kidogoOmmy Dimpoz aliandika mtandaoni kuwa si kweli na ni story ya kutunga tu kutaka kumchafua kisanii … Ommy, “Nimesikitishwa sana na hii habari iliyotoka global publishers Wanatengeneza story ili wauze magazeti yao” … alimaliza Dimpoz na kutupia picha hii hapa …
Lakini Ommy hakuishia hapo, alionesha kukerwa zaidi na front page hiyo na kuandika sababu ya gazeti hilo kumchafua namna hiyo …

Hichi ndicho Ommy alichoandika … “Nilipigiwa simu ya kibiashara kwa ajili ya kufanya show na global publishers kwa sababu hatukuafikiana kwenye malipo ndo wameamua kunichafua ..”

#GongaMx

1 comment:

  1. Ommy wapeleke mahakamani wanataka kukuharibia jina hapo binadam washaanza kukutizama kwa jicho la zarau lazima wakulipe wasuu washenzi hao ukiwachia watazua jingine.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake