ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 15, 2013

OMMY DIMPOZ AWAPIGIA MAGOTI WATANZANI AKIOMBA ASAMEHEWE KWA TUSI LAKE

Baada ya watanzania kumwandama Ommy Dimpoz kutokana na tusi alomtukana marehemu Ngwea, msanii huyo ameamua kuwapigia magoti watanzania na kuwasihi wamsamehe.....


Hali hiyo imekuuja baada ya watu mbalimbali kutangaza kumsaka Ommy kwa lengo la kumwadabisha kwa kumpa kichapo kikali...


Miongoni mwa watu hao ni TID ambaye leo kupitia ukurasa wake wa facebook ametangaza vita dhiti ya Ommy Dimpoz....


Hii ni post ya Ommy ambayo ameitoa akiomba asamehewe kwa kauli zake na matusi aliyoyatoa kwa marehemu Ngwea....

1 comment:

Anonymous said...

Kesha Omba msamaha sasa tuyaaache tusonge mbele. Ila Ommy Dimpozz sikunyingine usiwe unaropoka hadharani, maana ulidhani utapata ubingwa na maneno yako mwishowe yamekurudia wewe mwenyewe. Try to behave yourself man. Okay nenda studio sasa ukaimbe uache blah blah.