Samira Lilah akipata picha baada ya kukamata nondo ya upishi Ijumaa June 14, 2013 kutoka L'Academie de Cuisine iliyopo Rockville, Maryland.
Samira Lilah akikamata Nondoz yake.
Samira Lilah akifurahia kukamata Nondo.
Samira Lilah akipewa tuzo la uwanafunzi bora la kutokukosa na kuwahi darasani.
Juu na chini ni Samira Lilah katika picha ya pamoja na wahitimu wenzake maswala ya upishi.
Samira Lilah katika picha ya pamoja na wanafunzi wa darasalake.
Samira Lilah katika picha ya pamoja na mwalimu wake wa darasa la upishi Jake Lydon.
Juu na chini ni Samira Lilah akishuka kutoka kwenye Limo akiwa pamoja na familia yake wakati wakati alipokua anafika kukamata Nondo yake ya Upishi.
kwa picha zaidi bofya read more
3 comments:
Hongera mamii, mie sipo USA ila nathamini sana ma chef maana napenda kula chakula kizuri kama kila binadamu.
naonea gelee familia yako watafsidi mapishi ya kisasa
Hongera sana
that my mom i wasent born hat so you dont see me in the pictures im 9 yers old i was bron in 2014
Post a Comment