Saturday, June 8, 2013

" MANGO LASSI " NA SUPU YA SAMAKI VINAPATIKANA KILIMANJARO PASSION WAKATI WOTE

                 
                                                          EMBE DODO, MANGO LASI BARIIIIIIIDI
SUPU YA SAMAKI (FISH SOUP)

ADDRESS YETU NI :~
2310 PRICE AVENUE,WHEATON,MD
TAKE AWAY AVLB- 3016616207 

3 comments:

  1. supu ya samaki nijuavyo mimi huwa inashombo sana ya samaki any advice huenda nikawa nimekosea

    ReplyDelete
  2. Sasa wewe ndugu unataka Supu ya samaki iwe na shombo ya kuku au ng'ombe?...watu wengine kwani lazima ukomment?....mi nimekula hiyo jana pale Kilimanjaro ilikuwa swaaaaaaafi kisamakisamaki zaidi!

    ReplyDelete
  3. Tafauti ipo kwenye utaalamu wa kutumia spices ukipata mpishi mzuri anaejua kucheza na spices ule ukali wa shombo unaondoka kwa asilimia kubwa na jengine zaidi pia inatemeana na aina ya samaki uliemtumia kupika hio supu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake