Hatimaye mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema, Wilfred Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijiji Dar es salaam baada ya kutimiza masharti ya dhamana aliyopewa huku mshtakiwa mwenzake Ludovick Rwezaura akishindwa kutimiza masharti hayo.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake