ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 12, 2013

LAUNDROMAT ALMANUSURA ISHIKE MOTO, BELTSVILLE, MARYLAND.

 Laundromat iliyopo makutano ya Powder Mill Rd na Chery hill Rd Beltsville, Maryland. yenye anuani ya 3416 Powder Mill Rd Jana Alhamisi July 11, 2013 ilianza kufuka moshi majira ya saa 12 jioni na kupelekea watumiaji wa Laundromat hiyo kutoka nje na kupiga simu 911 na ndani ya ddk sisizozidi 3 vikosi vya zimamoto viliwasili na kutokomeza moshi huo uliotokana na hitilafu kwenye moja ya mashine ya kufulia.
 Wafanyakazi wa vikosi vya zimamoto wakendelea na kazi ya kuzima motto aliotaka kuwaka kutokana na hitilafu kwenye moja ya mashine ya kufulia.
 Wafanyakazi wa zimamoto wakitafakali jambo.
 Watumiaji wa Laundromat hiyo wakiwa nje kusalimisha maisha yao huku wengine wakipata picha za hapa na pale.

1 comment:

Anonymous said...

hahaha Mambo ya technology hayooo mweee Laundry mart nusu iwakeee moto ila wadau wameng'ang'ania kupiga picha na ku record tukio. Kasheshe. Mtu unaweza kufa hiviii hiviii badala ya kuokolewa watu wanapiga kwanza picha. makubwaaa.