Wednesday, September 18, 2013

Ajira na nafasi za kazi

Habari,

Najua tunaweza kuwa tunatafuta ajira ama kuna ndugu zetu ama jamaa zetu wanatafuta ajira. Mahali wanaweza kupata taarifa za kazi zikitangazwa kila siku ni:  www.ajirakwanza.co.nr

Tunaweza kuwataarifu na wenzetu hasa wanaotafuta ajira.


Ahsanteni,

1 comment:

  1. nilidhani hii website ni kwa ajili ya watanzania waishio marekani etc kumbe bongo halafu imekaa kwa ajili ya wasomi somi jamani nyeeeeeee sisi mabumbubu hatuangaiwi kwa nini?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake