ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

LIVERPOOL YAPIGWA KIDUDE NYUMBANI, SUAREZ AKIMALIZA ADHABU YA MECHI 10

Off target: Daniel Sturridge show his anguish after missing a chanceBAO pekee la Dejan Lovren limeipa Southampton ushindi wa 1-0 Uwanja wa Anfield dhidi ya wenyeji Liverpool leo. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Croatia alifunga bao hilo dakika ya 54 na kumaliza rekodi ya Liverpool kutofungwa ndani ya mechi 12.

Mshambuliaji Luis Suarez, alikuwepo jukwaani akishuhudia mechi yake hiyo ya mwisho katika adhabu ya kufungiwa mechi 10 na sasa anarejea uwanjani. Pamoja na hayo The Saints, inabidi wamshukuru refa Neil Swarbrick aliyewanyima Liverpool penalti baada ya beki wao kumuangusha Daniel Sturridge kwenye eneo la hari kipindi cha kwanza.

Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet, Toure, Skrtel/Alberto dk72, Agger/Enrique dk56, Sakho, Gerrard, Lucas, Henderson, Aspas/Sterling dk46, Moses na Sturridge.
Southampton: Boruc, Clyne, Lovren/Fonte, Shaw, Wanyama, Schneiderlin, Rodriguez/Cork dk89, Lallana/Ward-Prowse dk75, Osvaldo, Lambert/Davis dk61. Brilliant win: Dejan Lovren scored the only goal of the game as Southampton ended Liverpool's
unbeaten start to the season

On target: Saints players cheer as Lovren's header hits the back of the net
Great scenes: Lovren takes the plaudits from the Southampton


Home debut: Victor Moses made his first appearance at Anfield in red
Tussle: Kolo Toure and James Rodriguez battle for possession
Strike: Steven Gerrard hits a free kick
Battle: Mamadou Sakho and Nathaniel Clyne vie for the ball
Watching on: Luis Suarez watches the action at Anfield
Challenge: Adam Lallana rides a tackle from Steven Gerrard

No comments: