ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 21, 2013

Watu 3 wa familia moja wauawa kwa kunyongwa na kuchinjwa Buhongwe Mwanza.


Watu 3 wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi 7 wameuawa kwa kuchinjwa na kunyongwa na watu wasiojulikana katika mtaa wa Ihila kata ya Buhongwe Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo

No comments: