Friday, October 18, 2013

RAIS KIKWETE AMPA KADINALI PENGO MKONO WA EID

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimtakia heri ya Sikukuu ya EID Muathama Polycarp Kardinali Pengo, Nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es Salaam jana. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake